Fuvu la kichwa la Ndutu ni sehemu ya fuvu la zamadamu ambayo imekuwa ikilinganishwa na lile la Homo erectus, Homo rhodesiensis, na Homo sapiens [1][2] wa kwanza, kutoka Pleistocene ya kati, inayopatikana katika ziwa Ndutu, kaskanizi mwa Tanzania.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search